The House of Favourite Newspapers

Injinia Hersi Afunguka Kichapo cha Simba Wakijiandaa Kukipiga Na Coastal Leo – Video

0


Rais wa Yanga Injinia Hersi Said na amezungumza kuelekea mchezo wa leo Novemba 8, 2023 kati ya wenyeji Coastal Union dhidi ya Yanga, nukuu yake Rais wa Yanga amesema kuwa furaha za mashabiki wa Yanga zinaweza kuwaletea ubingwa na wanamuomba Mwenyezi Mungu iwe hivyo.

Leave A Reply