The House of Favourite Newspapers

Instagram yapotea hewani: Mamia washindwa kuingia kwenye akaunti zao

Image result for instagram company

MTANDAO wa Instagram umeonekana kudorora ambapo mamia ya watumiaji wake wameshindwa kuingia katika akaunti zao katika tovuti hiyo ya kutumiana picha.

Image result for instagram company

Zaidi ya watu 1,000 duniani kote leo (Jumatano) asubuhi wameripoti kuwepo matatizo katika mtandao huo ambao unamilikiwa na kampuni ya Facebook.Majaribio ya kuingia katika mtandao huo yamekuwa yakiishia kuwepo kwa ukurasa mtupu na ujumbe wa: ‘5xx Server Error’.  Hata hivyo, tatizo hilo lilikuwa la muda.

 

 

Comments are closed.