The House of Favourite Newspapers

#GlobalMusic: Ipokee ‘TOLA’ Collabo Nyingine Ya Vanessa Mdee na Tay Grin Kutoka Malawi – (Video)

Baada ya kushirikiana na Orezi na Legendury Beatz wa Nigeria, Cash Madame wa Bongo Fleva Vanessa Mdee anatupeleka Malawi weekend hii.

Vanessa Mdee anazidi kutusogezea collabo tofauti alizozifanya na mastaa mbalimbali wa Africa. Baada ya ‘Just Like That’ na ‘Duasi’ ngoma alizofanya na Wanigeria Orezi na Legendury Beatz, VeeMoney ameisambaza rasmi collabo yake nyingine ‘TOLA’ aliyoifanya na mkali wa Hip Hop kutoka Malawai Tay Grin.

Kupitia Instagram page yake, Vanessa amepost video clip ya wimbo huo na kusema:

 Nimeimba lugha tatu kwenye hii ngoma, Kiswahili, Chichewa na Kiingereza. Kazi hii nimefanya na msaani namba mmoja Malawi @taygrin mfollow alafu bonyeza link kwenye bio yake kuitazama video mpya kabisa #Tola#CashMadame #Duasi #JustLikeThat#NoMindEm #Juu 💣💥👌 #MoneyMondays 💜 “

 Itazame ‘TOLA’ ya kwao Tay Grin na Vanessa Mdee hapa chini.

Imeandikwa Na: Sandra Brown

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

 

Comments are closed.