Kartra

Irene Paul Amfuata Manara Yanga

IKIWA ni saa chache baada ya aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kutangaza kujiunga na Klabu ya Yanga, msanii wa Bongo Movies, Irene Paul ameonyesha kuguswa na jambo hilo na kuamua kuandika haya.

 

“Kaka yangu @hajismanara…… mimi ni kati ya wale ambao nilipenda mpira kwa sababu yako,yani your personality na jinsi ulivyofanya kazi yako katika sehemu uliyokuwa ndiyo ilinifanya niipende timu👌👌

 

PASSION: Ulisimamia ulichokifanya kwa mapenzi yote,na ulifanikiwa kutengeneza mvuto kwenye mpira kwa baadhi nikiwemo mimi hasa kwa timu uliyokuwa.

 

Ninaamini katika KUHESHIMU INFLUENCE ya mtu katika kitu,niseme tu hiyo pia ni talanta ambayo sio kila mtu anayo….ITS GOD GIVEN!!!!! It’s about time nguvu yako ambayo ni “PRICELESS” ionekane,ijulikane na IHESHIMIWE maana pesa sio kila kitu.

 

#youmoveWEmove💪💪💪💪 “

 


Toa comment