Irene Uwoya Asimulia Mapya Kifo Cha Kanumba Hadi Kufungua Kanisa – Video
Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Irene Uwoya amefunguka kupitia Global TV na kuelezea kuwa Marehemu Steven Kanumba alikuwa ni mtu wa utani sana na ndiye aliyemshawishi kuingia katika tasnia ya uigizaji
Uwoya ameongezea zaidi kuwa siku moja walipokuwa visiwani Zanzibar Marehemu Kanumba aliwahi kumwambia kuwa amzalie hata mtoto mmoja.