The House of Favourite Newspapers

Irene Uwoya avunja ukimya kuhusu voice note za Haji Manara – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Irene Uwoya amefunguka kuhusu kutajwa kwenye voice note za Haji Manara zilizovuja hivi karibuni.

Uwoya amesema sauti hizo hazina ukweli wowote kwa sababu hana ukaribu na Manara wala huyo bosi anayetajwa kwenye sauti hizo na kueleza kuwa hizo ni changamoto za kawaida na hazijamuathiri.