The House of Favourite Newspapers
gunners X

Isabela ashtukia kuporwa mabwana

0

MSANII wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ameibuka na kueleza kuwa ameshtukia namna wasanii wa kike wanavyomuibia mabwana zake na sasa amejifunza kwamba kitendo cha kuwaanika mitandaoni ndiyo sababu kubwa.

Akichonga na Za Motomoto News , Isabela alisema kwa sasa amejifunza kuwa msiri kwenye uhusiano wake
wa kimapenzi kwa sababu wasanii wenzake wa kike wamekuwa wakimliza kila mara kwa kuona anafaidi.

“Kiukweli nimejifunza kutokana na kosa kwani nimeshaibiwa wanaume watatu ambao nilikuwa nao kwenye uhusiano, kisa ni vile ninavyopenda kujiachia na mpenzi wangu lakini kwa sasa siko tayari tena kumwanika mpenzi wangu,” alisema Isabela

Leave A Reply