Isikilize Afro Bongo EP Yote Toka Kwa Harmonize

 

Msanii Rajab Abdul Kahali maarufu kama Harmonize toka WCB ameileta EP  yake ya Afro Bongo ya kwanza na ndani ya mwaka 2019.

 

Ep hiyo imebeba nyimbo nne zilizowashirikisha wasanii wakali kama Diamond Platnumz toka Tanzania, Burna Boy, Mr Eazi pamoja na Yemi Alade hao wote toka Nigeria.

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

 

Zisikilize Nyimbo Zote hapa.

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment