The House of Favourite Newspapers

ITAKULIZA! Ombi Kubwa la Mke wa Azory kwa JPM – Video

IKIWA ni mwaka mmoja sasa umepita tangu kupotea kwa Mwandishi wa Habari za Uchunguzi wa Gazeti la Mwananchi, Azory Gwanda, wadau mbalimbali wamepaza sauti zao kutaka mwandishi huo aweze kupatikana akiwa hai.

 

Global Tv, imemtembela mke wake aitwae Anna Pinon wilayani Kibiti mkoani Pwani, ambaye ametoa ombi kubwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

VIDEO: MSIKIE HAPA MKE WA AZORY AKIFUNGUKA

Comments are closed.