#GlobalMusic: Itazame Official Music Video Ya ‘Tito Mboweni’ Kutoka Kwa Cassper Nyovest – (Video)

 

Rapper kutoka South Africa Cassper Nyovest ameachia official music video ya wimbo wake mpya Tito Mboweni. Itazame hapa chini.

Baada ya kuachia audio ya wimbo wake mpya Tito Mboweni, Cassper Nyovest amerudi kuileta kwetu official music video ya wimbo huo. Tito Mboweni ni moja ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album ya tatu ya Cassper Nyovest ‘Thuto’ inayotarajia kuingia sokoni mwezi Mei mwaka huu wa 2017.

Itazame ‘Tito Mboweni’ ya Cassper Nyovest hapa chini.

Cassper Nyovest – ‘Tito Mboweni‘ (Official Music Video)

Director / Editor: YEAHLENZO
Producer / Art Director: uSanele
DOP/ Editor: Garth Von Glehn
Stylist: Didi Simelane

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Video: YouTube/Family Tree World.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine kali zikufikie kwa wakati.


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment