The House of Favourite Newspapers

#GlobalCelebrities: Itazame Studio Session Ya ‘Pepeta’ Wimbo Mpya Wa Chin Bees – (Video)

Hii ni kwa wale watu wangu wenye mapenzi makubwa na Bongo Fleva na wasanii wake.

Umeshawahi kuwaza wasanii wakiwa studio wanarekodi vipi nyimbo zao? Mizuka yao inakuaje? Wanajiachia vipi? Wanafurahi vipi? Vituko vyao je? 

Leo kwenye zile updates za entertainment Global TV Online inakusogezea hii exclusive session ya msanii kutoka Bongo Flevani Chin Bees ambaye siku chache zilizopita ametoka kuachia mdundo wake mpya uitwao ‘Pepeta’.

Tazama jinsi studio session ya Chin Bees ilivyokuwa wakati akirekodi wimbo wake mpya ‘Pepeta’ hapa chini.

 

IMEANDIKWA NA: Sandra Brown.

VIDEO/ INTERVIEW: Becka Issa.

 

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

 

Comments are closed.