The House of Favourite Newspapers

#GlobalMusic: Itazame ‘Yolo Yolo’ Mpya Kutoka Kwa Seyi Shay – (Video)

Imepita muda kidogo toka tumsikie mkali wa R&B kutoka Nigeria Seyi Shay na kama ulikuwa umemiss kuwa na nyimbo zake kwenye playlist yako basi ipokee hii mpya kutoka kwake.

Seyi Shay anauanza mwaka wake wa 2017 na video ya wimbo wake mpya YOLO YOLO. Video imefanyika South Africa na Mtayarishaji wa wimbo huu anaitwa DJ Coulblon, Muongozaji wa video hii anaitwa Meji Alabi kutoka JM Films Nigeria. 

Kikubwa ninachokipenda kuhusu Seyi Shay ni uthubutu wake wa kujaribu vitu tofauti na muziki wake. Kwenye ngoma hii Seyi amecheza na miondoko Afrobeat, Latin music kutengeneza muziki ambao bila shaka naamini utapendwa na kusikilizwa na watu wengi ndani na nje ya Africa.we

I just de think about my life, my life, from where I started to where I de now, I see so many things that dey happen, many many mistakes that taught me different lessons… Nobody wanna be your friend when it’s bitter, they only claim your friend when it’s better… ” – Seyi Shay anaimba.

Seyi Shay – Yolo Yolo

Producer: DJ Coulblon/ Director: Meji Alabi (JM Films)

Video Stylist: Swanky Jerry/ Video Creative Director: Bella Adeleke.

 

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine kali zikufikie kwa wakati.

Comments are closed.