Izzo Bizness Ameanza Mwaka Na ‘Pepa’ Video Mpya

 

Mbeya City Boy maarufu kama Izzo Bizness ameileta video yake mpya, ‘Pepa’ akiwa  pamoja na Gosby.

 

Video imeongozwa na Khalfani toka KH Films.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

 

Itazame hapa.

 

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment