Jahazi Moden Taarab wafunika jijini Dar
Hadija Kopa akiwajibika.
Mashabiki wakinogeshana kwa raha zao.
Fatma Machuppa akiwajibika.
Fatma Kasim ambaye ni mdogo wa Jokha Kassim akikatika kwenye kiti baada ya uhondo kumuingia akilini.
Reila Rashid ambaye ni mke wa Mzee wa Yusuph akipagawisha mashabiki.
Baadhi ya mashabiki waliendelea kujimwaya stejini licha ya mvua kunyesha.
Amigo wa Jahazi akirindimisha mambo
Usiku wa kuamkia leo Kundi la Jahazi Moden Taarab lilifanya onesho kwenye Hoteli ya Travertine, Magomeni Jijini Dar ambapo kamera yetu ilikuwa ikimulika matukio kwenye onesho hilo.
PICHA : RICHARD BUKOS / GPL