JAJI AAHIRISHA KESI YA MBOWE KWA NUSU SAA – Video

  UPANDE wa Serikali umekata rufaa katika Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kukubali kusikiliza rufaa ya dhamana ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko uliyotolewa leo asubuhi.

Baada ya kusikiliza pande zote mbili Jaji Sam Rumanyika amehairisha kesi kwa nusu saa ili kuja kutoa uamuzi kama mahakama kuu iendelee kusikiliza rufaa hiyo au kusubiri uamuzi wa mahakama ya rufani

 

 

Toa comment