The House of Favourite Newspapers

Jamani Antiii…Nishushe Ununio..!-13

ILIPOISHIA KWENYE RISASI MCHANGANYIKO: “Oooh, mama nami naelekea kupasua daaaafuuuu…,” Bigambo aligugumia na hapohapo alizidisha kasi ya ukweaji na kulishika dafu moja kabla ya kuliachilia na kulipasua kwa hasira kali, kitendo kilichomfanya Vivian naye apasue la kwake wote kwa pamoja walijikuta wakihitimisha safari kwa wakati mmoja, lakini kufumba na kufumbua Vivian alianza kuonesha jambo ambalo hata Bigambo lilimshangaza kwani hakulitegemeaa, lakini wakati huohuo mlango ukawa uanagongwa kwa fujo kali sana.

 

SONGA NAYO SASA… BIGAMBO alijivika ustaarabu ambao hakuwa nao na lengo likiwa ni kumpumbaza Vivian, ili atoe ushirikiano ambao ungeleta matokeo chanya kwa mpambanao huo wa watani wa jadi. Bigambo alimfuata Vivian mahali alipokuwa amelala na kuanza kumfanyia fujo zote ambazo hufanyiana wapendanao pindi wanapokutana kwenye eneo walilokuwepo Bigambo na Vivian. Vivian naye alimpokea na safari hii alimlalia kwa mtindo wa kawaida, aliweka kichwa maeneo ya kiuno na akawa kama anakibilingisha kichwa, hali iliyopelekea hali ya Bigambo kuanza kubadilika.

 

 

Vivian hakuishia hapo, akajisogeza kwa mbele zaidi na wote wawili kujikuta wakitazamana usoni. “Baby…” aliita Vivian wakati huohuo mkono wake wa kushoto ukikiparamia kifua cha fundi kilichokuwa wazi na kuiacha bustani ionekane kwa uwazi na ukubwa wa kumezesha mafunda ya mate. Vivian hakuishia hapo, akakiruhusu kiganja kutembea bustanini kwa Bigambo huku vidole vyake laini vikitalii kwa umaridadi mkubwa kabisa kwenye vichuguu vifupi viwili, mahali ambapo marhani ya Bigambo yalikuwa.

 

“Mmm…,” aliguna Bigambo kwa mtindo wa kufyonza muwa mtamu… “Oooh, yes baby…,” Vivian alichombeza kwa maneno laini na kuyafumba macho kwa maana ya kuhamasisha zaidi. Hali ya Bigambo ikazidi kuwa mbaya, kama ni kuharibikiwa sasa ilikuwa kwa kiwango cha kuhitaji msaada kamili na si maneno matupu. Kuona hivyo, Vivian akazidisha mbwembwe. Akafumba macho na kukisogeza kinywa karibu na kile cha Bigambo.

 

Bigambo naye akalegea kwa maana ya kumpokea Vivian kwa mtindo huo. Wakasogeleana na kuanza kushiriki pamoja kutafuna miwa ya Kilombero. Walizama kwenye kutafuna miwa kwa muda wa zaidi ya dakika kumi na tano, kila mmoja akionesha ufundi wa namna ambayo miwa mitamu huliwa. Vivian alizidisha manjonjo, akawa akajikunjakunja kwa kuweweseka kimahaba zaidi, ikawa mara akunje miguu na wakati mwingine ainyooshe kama anayejipima urefu, ilimradi kuonesha namna ambavyo alikuwa amekolea kwenye dimbwi la uhondo wa kilichokuwa kikiendelea. Bigambo hakuwa nyuma. Naye aliamua kupeleka mashambulizi kwa Vivian, tena yalikuwa yale ya kushtukiza kwa lengo la kumvizia adui akiwa amejisahau. Bigambo alipeleka mkono mmoja na kuyavamia maembe bolibo ya Vivian na kuyashika kama anataka kuhakikisha yameiva au la… Hakuishia hapo, akalishika embe moja na kumtupia mdomoni huku lile jingine akiendelea kulifanyia visa vya kichokozi…

 

Vivian akashindwa kuvumilia.
Sasa akajiachia kwa uhuru, akakaa mkao ambao ulimpa uhuru Bigambo kuonesha utundu wake zaidi ya huo. Kuona hivyo, Bigambo akaona isiwe tabu zaidi ya kupania kuonesha ufundi maridhawa, akamfuata Vivian na kumuweka vyema. Kufikia hapo, Vivian alikubali kutoka moyoni kabisa kwamba Bigambo ni mtaalam kwenye eneo la kusakata kabumbu hususan kama mechi yenyewe imewakutani

 

sha watani wa jadi ambao kila mmoja hutazama sana ushindi wa pointi na si wingi wa vyenga kama ambavyo wengi hudhani. Walicheza gwaride hadi kila mmoja akaridhika na mwisho wa siku wakakubaliana kuondoka eneo hilo kwa kuwa Vivian alikuwa na ratiba ya kukutana na mtu nyumbani kwake, huku Bigambo akitarajia kwenda kufanya kazi zake binafsi. “Lakini baby,” Vivian alisema huku akitafuta mahali zilipokuwa nguo zake. “Vipi mama.” “Wewe ni kiboko.” “Kwa nini?” “Si kama hivi, kwanza sikuwa na mpango kabisa wa kufanya chochote lakini umetumia utundu wako wote kuhakikisha najikuta nikiingia mchezoni, hakika umeniweza.” “Kwa hiyo umecheza gemu kwa kulazimishwa?” “Sijamaanisha hivyo bwana.”

 

“Sasa kumbe?” “Mwanzoni sikutaka kwa kweli, lakini ushawishi wako umesaidia sana hadi nikajikuta nikifurahia maandalizi na hatimaye namna ambavyo mchezo mzima ulivyokwenda,” Vivian alisema na hapohapo akawa anamalizia zoezi la kuvaa na kumsubiri Bigambo amalize ili waweze kutoka pamoja kabla ya kuachana na kila mmoja kuangalia njia na ratiba yake. “Sasa?” Bigambo alimuuliza
Vivian ili kusikia kama kuna lolote anaweza kumueleza baada ya kumaliza kusakata mechi hiyo bora kabisa ya ghafla ambayo hakukuwa na mchezaji aliyekuwa akifikiria suala hilo zaidi ya makocha wa pande zote mbili ingawa nao hawakuwa na mawasiliano ya karibu juu ya mechi hiyo ambayo wengi hupenda kuiita kwa jina la Dabi. “Wala sina cha kusema labda kama nitapata nauli tu ya kunitoa hapa kwa pikipiki hadi nyumbani kwangu, mengine tutaongea kwenye simu nikifika, lakini kusema ule ukweli umenionesha mchezo bora kabisa kwa siku ya leo ambao sitausahau maishani mwangu,” Vivian alitiririka mfululizo na kumfanya Bigambo aishie kutabasamu.

 

Bigambo aliingiza mkono mfukoni na kutoa noti moja nyekundu, kisha kumpatia mkononi Vivian, lakini staili aliyotumia kumpatia ni ile ya kufumbata pesa na kumpenyezea kiganjani bila kumpa nafasi ya kutambua ni kiasi gani, kwa hiyo Vivian aliipokea na kuitia mkobani bila kujua ni kiasi gani, lakini moyoni aliamini ni pesa inayotosha kwenye nauli ya pikipiki kwani tangu wanafahamiana alimjua Bigambo si mtu wa kubabaisha na mhuni wa mjini na kama hana kitu huwa hawezi kudanganya na kujifanya mwenye nacho kama wafanyavyo vijana wengi wa mjini wakiwa na lengo la kumpata mwanamke wamtakaye. “Jamani wewe cha utundu sana,” Vivian alisema na kumkumbatia tena Bigambo ambaye alitumia nafasi hiyo kumchumu mashavuni huku mikono ikizunguka kwa kasi ya umeme na kulifumbata umbo zima la nyuma ikiwemo ile milima mikubwa miwili ambayo ndiyo silaha kuu ya Vivian kuwadatisha wanaume wengi wa mjini wapenda starehe ya kuruka uwanjani bila jezi.

 

“Aaah, wewe jamani mbona hivyo B?” Vivian alilalamika kwa mtindo wa kudeka na kumfanya Bigambo atumie haraka sana kiganja chake kumminya eneo la nyuma ambapo alizidi kumpa uchizi tena Vivian aliyeanza kulegea macho na kusinzia kwa mbali,
licha ya kwamba walikuwa kwenye maandalizi ya kuondoka chumbani humo ili waendelee na ratiba zingine. “Basi mama, pole sawa mrembo mzuri?” Bigambo alichombeza kwa maneno matamu na laini kisha kujiondoa mwilini mwa Vivian na kuufuata mlango ambapo aliufungua na kumpa ishara Vivian atangulie kutoka kabla yake. Walitoka, lakini kwa kuwa ilikuwa ni usiku, hawakuona tabu kushikana mikono na kuongozana hadi eneo la maegesho ya pikipiki. “Kiasi gani hadi Kibangu?”

Bigambo aliuliza kwa niaba ya Vivian ambaye ndiye alikuwa mwenyeji wa huko, lakini kwa sababu Bigambo ni mwanaume alitaka kuonekana mwenye kujali zaidi kuhakikisha kila kitu kinakwenda kama kinavyotakiwa. “Kibangu ipi?” Kijana wa pikipiki aliuliza lakini badala ya kujibu, Bigambo alihamishia macho kwa Vivian ili ajibu swali hilo. “Karibu na kwa Mzee wa Upako…,” alitaja na hapohapo wakawa wameelewana.

“Sasa Bae, mimi nakwenda maana usiku nao umeshaingia sana, nikifika tu nitakupigia kwa kuwa kuna jambo nataka nikusisitize ambalo ni muhimu sana kati yetu, sawa my…?” “Sawa, lakini unanipa kimuhemuhe kikubwa sana ni afadhali uniambie tu kabla ya kuondoka.” “Acha mambo yako bwana, ngoja niondoke,”

Vivian alisema huku akikanyaga mguu kwenye kigingi cha kukanyagia kabla ya kukaa vyema kwenye kiti cha pikipiki, ambapo yule kijana hakuwa na muda wa kupoteza zaidi ya kutia gia na kuondoka kwa kasi na kumuacha Bigambo akikodoa macho huku akicheka na kujisifia moyoni kwa namna ambavyo ameweza kumpata Vivian kwa urahisi na wepesi wa namna hiyo. Kwa upande wa Vivian, kichwani alikuwa na maswali mengi ambayo hayakuwa na majibu kwa wakati huo.

Chaombezo Na Irene Mwamfupe.

Usiziache ndoto za mategemeo yako, kwani kuna siku utajuta

-STEVE MARABOLI.NUKUU:
Je, nini kitafuata? Usikose kufuatilia Siku ya Jumatano kwenye Gazeti la Risasi Jumamosi. kwa maoni na ushauri nicheki kwa namba hizi; 0673-423 845.

Comments are closed.