“We kaka Cheni, hebu sikiliza nje, kama kuna mtu anatembea,” nilimwambia.
TEREMKA NAYO MWENYEWE…
“Hakuna mtu bwana…” aliniambia akisikilizia kama maneno yangu yalikuwa na ukweli wowote.
“Yupo, we husikii? Inawezekana ni baba!”
“Uoga wako tu, mbona kuko kimya.”
Kaka Cheni aliongea huku akinisogelea zaidi maana tayari bukta yake ilikuwa pembeni wala mimi kanga yangu sikujua wakati huo ilikuwa kona gani, tukawa saresare maua. Kwa pozi za taratibu aliupitisha mkono wake wa kulia na kuanza kunipapasa taratibu.
Mh! Mwenzenu, hali niliyoisikia baada ya kaka Cheni kuanza kufanya hivyo haikuwa ya kawaida, akili zangu zote zikaniruka, nikawa kama natetemeka vile kwa homa ya ghafla. Bila kutegemea nikajikuta naanza kuhema kwa pupa.
“We kaka Cheni wewe unajua baba atatukuta?” niliongea kwa kudeka f’lani huku macho nimeyalegeza nikimvutia kwangu zaidi na zaidi.
Kaka Cheni hakuongea neno lolote, tayari mikono yake ilikuwa imekwisha chachamaa akinigusa hapa na pale katika mwili wangu, aliponichanganya zaidi ni pale alipoanza kuutumia ulimi wake kuufanyisha ziara ya utalii mwilini mwangu. Nilihisi akinimaliza akili zangu bure, nguvu zote zikaniishia, nikalegea mno na kuanza kutoa miguno iliyoashiria kuzidiwa na mihemko, nikaanza kumsisitiza kaka Cheni kama ni uwanjani tuingie tucheze halafu asepe maana sikuwa naamini sana siku hiyo.
Lakini yeye alizidi kukazana kunishikashika, mara nikashtukia akinihemea kwenye sikio langu la upande wa kushoto. Joto la kukumbatiana likazidi kunipanda zaidi, bila kutegemea nilishindwa kujizuia nikamwingiza uwanjani ili tusakate mpira.
Nafikiri kaka Cheni alifahamu tayari nilikuwa nimekwishazidiwa kihisia, hakutaka kuwa na hiyana na yeye aliamua kuucheza mpira huo kwa ustadi wa hali ya juu.
Kila mmoja wetu alikuwa na akili zake kwani wakati kaka Cheni akikazana na mpira, mimi nilisikilizia nje, nikasikia sauti ikiita…
“We Cheni…Cheni, upo..?”
Alikuwa ni baba.
Kaka Cheni akakurupuka kitandani akitaka kuniacha peke yangu, nilijaribu kumng’ang’ania asiondoke kwanza lakini alinizidi nguvu, akasimama kando ya kitanda huku akihema kwa kasi, kisha haraka nikamuona akiokota bukta yake na kuivaa.
Moyoni niliumia sana huku nikimchukia baba kuliko kawaida maana nilihisi wakati huo alininyanyasa mimi kuliko wakati mwingine wowote ule, tayari mwili wangu ulinyong’onyea na kukosa nguvu.
Baba alinikata stimu, sikuwa na jambo la kufanya zaidi ya kukubaliana na hali halisi maana tayari kilikuwa kimekwisha nuka.
Wakati huo pia tofauti na mwanzo, sauti ya baba nilianza kuisikia kutoka kwenye dirisha langu ikiniita. Nafikiri ni baada ya kuona chumbani kwa kaka Cheni kuko kimya ndipo baba alihamia kwangu.
“Tufanyeje?” kaka Cheni aliniuliza kwa sauti ya chini huku nikijifunga kanga na yeye akivaa sawasawa bukta yake.
“Ingia huku,” nilimwambia kaka Cheni…
“Chini ya uvungu?”
“Ndiyo.”
Harakaharaka kaka Cheni alizama chini ya uvungu wa kitanda, mimi nikajilaza kitandani taratibu mfano wa mtu aliyekuwa ameshtuka wakati amekwisha anza kupitiwa na usingizi niliitika.
“Umekwisha lala?” baba aliniuliza.
“Ndiyo.”
“Haya, huyo kaka yako sijui yuko wapi?”
“Si chumbani kwake baba!”
“Hayumo.”
“Mh! Labda msalani.”
“Haya wewe lala, atanitambua tukionana.”
Nilisikia hatua za baba akiondoka. Nilimsindikiza kwa hasira aa ndani kwa ndani huku moyoni nikimlaani kwa kitendo chake cha kutuchunga sana kama mbuzi, lakini kilichoniudhi zaidi wakati huo ni kitendo cha baba kunikatisha stimu.
Baada ya kuhisi baba amekwishaondoka, nilimwambia kaka Cheni atoke chini ya uvungu, akafanya hivyo, lakini na yeye alionekana kuchukizwa na kitendo cha baba kukaa anatuchunga kila wakati.
“Wazee wengine nuksi kweli,” kaka Cheni alisema, mimi nikacheka nikimpa pole kwa adha aliyokutananayo chini ya uvungu.
“Ngoja niende asije akarudi tena,” alisema kaka Cheni.
“Mh…mh…” niliguna nikitingisha kichwa kumaanisha sikukubaliana naye.
“Nini sasa?”
“Usiondoke.”
“Mh! We kweli hunitakii mema.”
“Ameshakwenda chumbani kwake kulala.”
“Hawezi kulala huyo. Akili yake yote iko kwangu, ngoja nilisovu hili kwanza nitarudi tena.”
“Jamani kaka Cheni, usinifanyie hivyo,” niliongea huku nikimsogelea karibu zaidi na kumkumbatia.
Lakini bila kutegemea kaka Cheni aliniweka pembeni.
Eti akaniambia atarudi msala huo ukipoa. Nilijaribu kulalamika nikimsihi asifanye hivyo lakini alikataa. Akasogea hadi mlangoni kwa kunyata, kisha akaufungua mlango na kutoka kwa tahadhari. Mara nikasikia mlango wa nyumba kubwa nao ukifunguliwa.
Je, nini kitaendelea? Usikose kusoma wiki ijayo.
Msala
hawa watoto balaah si damu moja kabisaaaaa