The House of Favourite Newspapers

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-17

0

Nilitoka na kwenda kwenye kona ya mlango, kaka Cheni akanifuata…
“Sista…sista!” aliniita kwa sauti iliyojaa wasiwasi.
Nilishindwa kumwitika kwani wakati huo nilikuwa naendelea kutapika…
“Argghh…arrrgh!”
“Sista unajisikiaje kwani?” kaka Cheni alizidi kuwa na wasiwasi…
“Kichefuchefu bro.”
“Mh! Cha nini sasa?”
“Sijui cha nini kaka Cheni, lakini toka jana nilianza kuhisi kichefuchefu!”
“Unatamani malimao?”
Nilimshangaa kaka Cheni kwa swali hilo kwani sikujua ana maana gani!
“Hamu ya malimao ndiyo nini kaka Cheni?”
“Nimekuuliza husikii hamu ya kula malimao?”
“Hapana.”
“Unasikia hamu ya kula nini?”
“Chipsi kuku,” nilimwambia, kaka Cheni akacheka huku akifungua mlango. Alifuata maji nyumba kubwa, akaniletea. Nikafuta kwa kanga yangu, nikaipeleka chumbani kwangu, nikasukutua kinywa kwa maji kisha nikarudi chumbani kwa kaka Cheni…
“Vipi, unajisikiaje sasa?”
“Niko sawa, ilikuwa kutapika tu.”
“Huna mimba kweli wewe sista?”
Nilishtuka sana kusikia kaka Cheni akiwa na wasiwasi kwamba mimi nina mimba…
“Kaka Cheni sina mimba. Na nikiwa nayo unadhani itakuaje?”
“Mh! Ukiwa nayo msala. Wenye mimba wanapenda sana kula malimao na kutapika…”
“Ndiyo maana ukaniuliza kama nina hamu ya malimao?”
“Nilisema ili niujue ukweli maana ni soo.”
Palepale nilimkumbatia kaka Cheni. Alikuwa na joto sana, joto zuri, nikahisi kama nipo kwenye maji ya bahari wakati wa jua la mchana.
“Kaka Cheni…”
“Mm!”
Hapo tulikuwa tumekaaa kitandani, miguu iko chini…
“We wa joto sana…halafu mimi nina ombi moja.”
“Ombi gani sista..?”
“Kuanzia leo usiniite sista, niite baby na mimi pia nitakuita baby au sweet au darling…”
“Hilo tu sista?”
“Hilo tu darling,” nilimwambia, nikamkumbatia tena, tukaangukia kitandani puu!!
Ukimya ukatawala, tukawa kivitendo zaidi. Ni denda, mabusu, kutazamana kwa karibu na kuachiana tabasamu. Ilifika mahali tukaanza kuzungumza lakini kwa sauti ya chini sana…
“Baby,” nilimuita kaka Cheni…
“Niambie sweetheart!”
“Unanipenda?”
“Sana…wewe je?”
“Hata mimi mume wangu nakupenda sana,” nilimwambia hivyo kaka Cheni huku mkono wangu wa kulia ukitalii kifuani pake.
Niliona nachelewa, nikaomba denda, nikapewa bila uchoyo, nikamtazama kaka Cheni kwa karibu zaidi, akaonekana mwili umeisha nguvu…
“Darling,” nilimuita tena kwa sauti ya chini ambayo tulisikilizana wawili tu…
“Baby.”
“Kwa hiyo?”
“Kuhusu nini sweet?”
“Upo tayari kwa mechi tena?”
“Yes dear, nipo tayari…wewe je?”
“Jamani baby hivi unaweza kuuliza virungu polisi kweli?” nilimwuliza.
Nilipomwuliza hivyo, alicheka kisha alinivutia maungoni mwake na kunibusu.
“Yaani baby kila unachonifanyia kinanisisimua kupita maelezo, sijui siku ukisafiri itakuwaje!” nilimwambia.
“Kwa penzi tamu unalonipa, hata nikiambiwa niende Ulaya siwezi kwenda baby,” aliniambia kisha akanikumbatia tena.
“Hodi wenyewe,” sauti ya mwanamke nje ilitukata stimu.
Ilikuwa sauti ya mwanamke mmoja anaitwa mama Daudi…
“Mzee Mteremko amefariki dunia kweli…msiba upo nyumbani kwake…baba na mama wameenda…watazika lini sijui,” alisema kaka Cheni, nikamsikia yule mwanamke akiondoka huku akiguna..!
“Mh! Makubwa!”
“Safi sana darling. Hawa watu wengine wamekaa kukata stimu wenzao.”
Kaka Cheni aliachia tabasamu, nikalipenda sana, nikambusu, akanibusu! He! Kuja kushangaa, kaka Cheni ameniweka kitandani kamilikamili…
“Sweet mlango haujafungwa ujue, tena uko wazi hata paka anaweza kuingia.”
“Nani ataingia baby? Acha woga wewe.”
Mechi ya safari hii ilikuwa balaa, kaka Cheni  nadhani baada ya kuwekeana mikakati ya kuitana baby, darling, sweet akataka kunioneshea sasa.

Ilikuwa shughuli pevu, mlio ulikuwa wa kitanda tu. Kila mmoja alijituma, kaka Cheni mara aniweke vile, mara hivi huku na mimi nikimpongeza mwenzangu maana ukishikwa, shikamana!
Lakini kuna wakati nilipokumbuka kwamba mlango haujafungwa, nilikatika stimu lakini nilipopuuzia mawazo hayo, kazi ilipamba moto.
Nilimshangaa kaka Cheni akatoka uwanjani ghafla, akaenda kuwasha taa japokuwa ilikuwa mchana na dirisha lilikuwa wazi…
“Taa ya nini baby?” nilimuuliza ili nijue. Hakunijibu, alirudi na kuendelea na mpira.
Ilifika mahali nikawa napiga mpira huku namwongelesha kaka…
“Baby kwa nini tusiende kupanga chumba mahali tukawa tunakwenda kukutania huko ambako tutakuwa na uhuru mkubwa kuliko hapa tunakuwa na wasiwasi..?”
Kabla sijamaliza kusema, ghafla mlango ulisukumwa bwana…
“Haa! Baby tumefumaniwa…Mungu wangu jamani…” nilisema hata kabla sijamwona huyo aliyesukuma mlango…

Je, nani aliyeuliza hivyo? Na nini kiliendelea? Usikose kusoma wiki ijayo.

Leave A Reply