The House of Favourite Newspapers

Jay Melody – Turudiane (Official Video)

Jay Melody; ni staa mwingine mkubwa kwa sasa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania leo ameachia video ya wimbo wake mpya wa Turudiane.