Jaymond, Mr Beneficial, Coy Mzungu kufunga mwaka na ‘CHEKA TU’ – VIDEO

Muanzilishi wa Shoo ya ‘CHEKA TU’ akiwa pamoja na wachekeshaji wenzake wametangaza kufanya shoo ya kufungia mwaka itakapofika Desemba 28.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake Muanzilishi, Coy Mzungu, amesema mashabiki ao wajiandae kuvunja mbavu zao siku hiyo kwani wachekeshaji mahiri wote watakuwepo na shoo hiyo ya kufungia mwaka itakuwa na tofaut kubwa na shoo zote walizowahi kufanya.

Loading...

Toa comment