The House of Favourite Newspapers

JB ala shavu nono la ubalozi

0

 Staa ‘the big name’ kwenye sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’.

Gabriel Ng’osha

Shavu! Staa ‘the big name’ kwenye sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amekula shavu nono la ubalozi wa kampuni ya kimataifa (jina kapuni kwa sasa) ambayo inatarajia kuanza kutoa huduma kwa Watanzania.

Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa JB zilieleza kwamba, ni dili kubwa ambalo jamaa hao walikuwa wakimtafuta balozi wao kabla ya kutua kwa staa huyo.Alipoulizwa juu ya ishu hiyo, JB alifunguka kwa kifupi: “Dah! Mmeipata hiyo? Kweli ninyi ni hatari. Mambo yanaenda vizuri tutataarifiana.”

JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS!

Leave A Reply