The House of Favourite Newspapers

Je, Una Kero Yoyote Unapotumia Website Yetu Kwenye Simu Yako, Ipad, Laptop au Desktop?

0

JE, UNA KERO YOYOTE UNAPOTUMIA WEBSITE YETU KWENYE SIMU YAKO, IPAD, LAPTOP AU DESKTOP?

KATIKA kuendelea kuboresha huduma yetu ya kukupasha habari, mpenzi msomaji wetu, tungependa kupata maoni yako kuhusu muonekano mpya wa website yetu. Iwapo unakutana na tatizo lolote wakati wa kufungua au kusoma habari katika website hii (www.globalpublishers.co.tz), tungependa kujua matatizo hayo na kukusaidia au kuyarekebisha kama ni ya kiufundi.

Vinginevyo tunapenda wateja wetu muendelee kutembelea globalpublishers kila saa na kila dakika kwani kuna habari nzuri zaidi zinakuja na tunapenda mfurahie kila dakika katika www.lobalpublishers.co.tz

Mwambie rafiki yako  naye amwambie  rafiki yake kuhusu website mpya na tungependa kusikia maoni yako kuhusu jambo lolote ili kuondoa kero zote katika website hii.
Tupia comment yako hapa:

Asante!

Web Master

Leave A Reply