Jeff Bezos Aibuka Tena Kuwa Tajiri Zaidi Duniani

Jeff Bezos ametajwa kuwa mtu tajiri zaidi kwa miaka minne mfululizo, akiwa na utajiri wenye thamani ya dola bilioni 177 , huku Elon Musk akiwa tajiri wa akiwa na utajiri wa thamani ya dola bilioni 151, wakati ambao hisa za Tesla na Amazon zimeongezeka.

 

 

Mabilionea wote wawili wana thamani ya utajiri wa dola trilioni 13.1, wakati mwaka jana walikuwa na dola trilioni 8 . Marekani bado inaongozakwa kuwa na mabilionea 724, ikifuatiwa China ( Hong Kong na Macao zikiwemo) kwa 698.

 

 

Orodha ya 35 ya mabilionea duniani kote imeongezeka na kufika 2,755-na bilionea -660 kuongezeka kwa zaidi ya mwaka mmoja. Rekodi mpya ambayo iko juu ina mabilionea 493 kila mwaka, ikijumuisha 210 kutoka China na Hong Kong. Na wengine 250 ndio wanashuka utajiri, ila bado 86% ni matajiri zaidi ya mwaka uliopita.

Toa comment