Jengo la Polisi Makao Makuu Dar, Lanusurika Kuwaka Moto
Jengo la Ghorofa ya 4 la Jeshi la Polisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam leo limenusurika kuwaka moto baada ya kutokea cheche za umeme ndani ya jengo hilo na kusababisha taharuki kabla ya Kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuudhiti.
Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia taarifa zetu.