The House of Favourite Newspapers

Jengo Laangushwa Kariakoo, Mmoja Wa Wamiliki Afunguka Sababu – Video

Katika hali isiyo ya kawaida wamiliki wa mojawapo ya jengo la biashara lililopo eneo la Aggrey na Msimbazi, Kariakoo wameamua kuliporomosha jengo hilo kwa hofu kuwa huenda likaleta maafa kwa kuanguka na kuua watu.

Hali hiyo imezua sintofahamu kubwa miongoni mwa wafanyabiashara waliokuwa wakifanya biashara zao kwenye eneo hilo.