Jennifer Mgendi atembelea Global TV Online na kufanya mahojiano

Jenipher Mgendi (1)

Mwimbaji Injili, Jennifer Mgendi akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo wakati akifanyiwa mahojiano 

Jenipher Mgendi (2)

Jennifer Mgendi akisikiliza baadhi ya maswali kutoka Global TV Online.

Jenipher Mgendi (3)

Jennifer akizidi kufanya mahojiano ndani ya Global TV Online leo.

Jenipher Mgendi (4)

Jennifer Mgendi akiwa na John Joseph ambaye ni Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa.

Jenipher Mgendi (5)

Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul akipozi na Jennifer.

Jenipher Mgendi (6)

Jennifer akiwa na Mwnadishi wa Championi, Nicodemus.

Jenipher Mgendi (7)

Jennifer akiwa na Mwanahabari Gabriel Ng’osha.

Jenipher Mgendi (8)

Jennifer na Nyemo Chilongani wakiwa katika pozi.

Jenipher Mgendi (9)

Jennifer akiwa na Shorvieny Mohammed wa Global TV Online.

Jenipher Mgendi (10)

Jennifer akiwa na Mpiga Picha wa Global,  Musa Mateja.

PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA / GPL

Loading...

Toa comment