Jeshi la Polisi Latangaza Ratiba ya Usaili kwa Waombaji wa Ajira 2025

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camilius Wambura anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.
Ili kusoma majina ya walioitwa kwenye Usaili tumia kiunganishi hiki https://polisi.go.tz/