The House of Favourite Newspapers

Jeshi la Zimamoto Lafanya Ziara Leo Global Publishers

Muhariri wa gazeti la Ijumaa Wikienda Sifaeli Paul akitoa maelekezo kwa maafia wa Jeshi la Zimamoto.

LIKIONGOZWA na Mrakibu Msaidizi Puyo Mzalayaimisi, Jeshi la Zimamoto limefanya ziara leo katika ofisi za Global Publishers kwa lengo la kujenga uhusiano mzuri na Global Publishers pia kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu habari.

Aidha jeshi hilo kupitia mkuu wa msafara, limeupongeza uongozi wa Global Publisher kwa kazi kubwa ya kuipasha habari jamii na kuielimisha pia.

Maafisa wa jeshi hilo wakifatilia jambo kwa umakini

Mrakibu Msaidizi Puyo Mzalayaimisi

Maafisa wa Jeshi hilo wakifatilia jambo kwa umakini

 

Picha Na Mussa Mateja

Comments are closed.