The House of Favourite Newspapers

Jide Aanika Siri Alivyokutana na Mjamaika!

Judith Wambura ‘Lady Jaydee na Lucian.

MKONGWE kunako Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee ametoa siri alivyokutana na mkongwe wa Muziki wa Reggae kutoka Jamaika, Lucian kuwa ilikuwa jijini Nairobi.

 

Akizungumza na Risasi Vibes, Jide anayetikisa na Wimbo wa Anaweza akiwa amemshirikisha Luciano alisema kuwa, siku hiyo alikwenda Nairobi kikazi na kwa bahati nzuri akakutana naye.

 

“Nilikutana na Luciano kwa mara ya kwanza Nairobi na hapohapo sikutaka kuchelewesha tukabad-ilishana mawasiliano. Tukaanza kuzungumza kuhusu kufanya kazi pamoja hadi ilipowe-zekana,” alisema Jide.

 

Jide anatarajia kuzindua rasmi wimbo huo katika Tamasha la Anaweza litakalofanyika Machi 31, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Golden Tulip, Oysterbay

Andrew Carlos.

Kilivyowaka Kwenye Fainali za Shindano la Kuimba ‘Karaoke’

Comments are closed.