JIDE AZUA GUMZO, AONYESHA CHUCHU ‘SAA SITA’ – VIDEO
STAA nguli kwenye tasnia ya muziki wa Bongofleva, Judith Wambura, maarufu kama Lady Jaydee amezua gumzo mitandaoni kwa kuvaa nguo inayoonyesha chuchu zake.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Jide ameweka video hii ambayo imeibua maswali miongoni mwa mashabiki wake.
Comments are closed.