The House of Favourite Newspapers

Jidenna – Bambi (New Audio)

Kama ulikuwa mpenda cartoon kipindi cha nyuma basi utakua unaifahamu Cartoon ya “Bambi’, sasa Jidenna ameachia ngoma yake mpya ‘Bambi’. Nyimbo hii itakua nyimbo yake ya mwisho kutoka kwenye ujio wa album yake ya The Chief.

Comments are closed.