The House of Favourite Newspapers

#GlobalCelebrityUpdates: Jidenna Kuachia Video Sita Mpya Na Hizi Ndio Teasers Zake – (Videos)

Msanii wa muziki kutoka Marekani na mwenye asili ya Nigeria, Jidenna anaendelea kuziachia videos za nyimbo zinazopatikana kwenye album yake mpya ‘The Chief’ na kama wewe ni shabiki wa muziki wake, ipokee hii.

Kwenye pitapita yangu YouTube jioni ya leo, nilitembelea ukurasa wa ‘The Classic Man’ Jidenna na kuona kuwa amewasogezea mashabiki wake teasers za music videos sita za nyimbo zinazopatikana kwenye album yake ya kwanza ‘The Chief’.

Kutoka kwenye album yake Jidenna ameachia teaser ya; “A Bull’s Tale“, “Beware“, “Safari” feat. Janelle Monae, St. Beauty & Nana Kwabena, “2 Points“, “White N*ggas” na “Trampoline”.

Zicheki teasers hizo hapa chini:

Jidenna: 2Points (Teaser)

Jidenna: Safari Feat. Janelle Monae.

Jidenna: A Bull’s Tale (Teaser)

Jidenna- Beware (Teaser)

Jidenna – Trampoline (Teaser)

Jidenna – White Niggas ( Teaser)

 

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine zikufikie kwa wakati. 

Comments are closed.