The House of Favourite Newspapers

Jimmy Mafufu Amelikimbia Jiji?

0

DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za kitemi Bongo, Jimmy Mafufu amepinga vikali madai ya baadhi ya watu kuwa amelikimbia Jiji la Dar na kuhamia Mbeya vijijini kutokana na ugumu wa maisha.

Mafufu aliliambia Wikienda kuwa, yupo nyumbani kwao mkoani Mbeya kwa ajili ya kuweka mambo sawa, lakini siyo kwa sababu ya kushindwa kumudu maisha ya jijini Dar kwani hata huko aliko anajishughulisha na ujasiriamali.

Nishushe Idd Mosi… Roma Atawaongoza Wakali Hawa Kuliamsha Dude, Dar Live


“Mimi ni mpambanaji, siwezi kukimbia Dar, eti kisa ugumu wa maisha, kama unavyojua maisha yana mambo mengi, hivi karibuni nitarejea Dar,” alisema Mafufu.

Stori: Brighton Masalu | Ijumaa Wikienda

Kwa stori zote kali, Tu-follow

Facebook @Globalpublishers

Twitter @GlobalHabari

Instagram @GlobalPublishers

YouTube @GlobalTVTZ

INASIKITISHA! Tazama Mazishi ya Mke wa Mzee Yusuf na Alichokisema Makaburini

Nishushe Idd Mosi… Roma Atawaongoza Wakali Hawa Kuliamsha Dude, Dar Live

Leave A Reply