The House of Favourite Newspapers

Jimmy Mafufu apanga kukimbia Dar

0

jimmyymafufucut.jpgStori: Gladness Mallya, Wikienda

DAR ES SALAAM: Mwigizaji wa Bongo Muvi, Jimmy Mafufu ameibuka na kusema kutokana na gharama ya maisha kuzidi kuwa juu, amepanga kulikimbia Jiji la Dar na kurudi mkoani kwao, Mbeya.

Akizungumza na Wikienda, Mafufu alisema kuwa, amegundua jijini Dar kuna kujuana kwingi hivyo ni vigumu kuchomoka kimaisha lakini akirudi kwao kuna fursa nyingi za kimaisha.

“Ukweli Dar imenishinda, narudi kwetu jijini Mbeya, huko nitajenga chuo cha sanaa kwa sababu Dar wasanii wamekalia kur ogana,” alisema Mafufu.

Leave A Reply