The House of Favourite Newspapers

Jinsi Viungo Vya Binadamu Vinavyouzwa Kwa Siri India, Mtanzania Awaonya Wanaoenda Huko – Video

Mazito! Watanzania wanaoenda kufanya kazi kiholela katika nchi mbalimbali ikiwemo India, wapo kwenye hatari kubwa ya kupoteza viungo vyao au kupoteza maisha yao kutokana na ugumu wa maisha wanayokutana nayo wakiwa huko.

Mwanahabari wetu, @zali_mapito akiwa nchini India, alifanikiwa kuzungumza na mmoja kati ya Watanzania wanaoishi nchini humo ambaye amefunguka msoto wanaopitia Watanzania wanaoishi nchini humo.