The House of Favourite Newspapers

Jinsi ya Kukaanga Mishkaki ya Ndizi, Samaki

LEO kwenye Mapishi ya Amani tutaona jinsi ya kupika mishkaki ya ndizi na samaki wa kukaanga na maharage ya kuunga pembeni, unaweza kuyawekea nazi pia ni chakula kitamu sana.

Maandalizi na mahitaji:

-Chukua ndizi, zimenye kisha zikatekate vipande uweke kwenye mti wa mshkaki.

-Mafuta ya kukaangia.

-Maharage na nazi tui zito la kwanza au unaweza kununua ya maji.

-Samaki na viungo vyake vyote, unaweza kuweka kitunguu swaumu, limao na tangawizi.

JINSI YA KUPIKA

Chukua ndizi zako zikaange kwenye mafuta weka pembeni.Ukimaliza chukua samaki ambaye umeshamuungia viungo, mkaange naye umuweke pembeni.

Ukimaliza unga maharage yako vizuri yaweke nazi na usiyatie michuzi kabisa, chakula hiki kinapendeza kuliwa na mboga ya maharage ambayo ni kavu. Ukimaliza andaa chakula chako kitakuwa tayari kwa kuliwa sasa.

Jinsi ya kukaanga mishkaki ya ndizi, samaki

LEO kwenye Mapishi ya Amani tutaona jinsi ya kupika mishkaki ya ndizi na samaki wa kukaanga na maharage ya kuunga pembeni, unaweza kuyawekea nazi pia ni chakula kitamu sana.

Maandalizi na mahitaji:-Chukua ndizi, zimenye kisha zikatekate vipande uweke kwenye mti wa mshkaki.

-Mafuta ya kukaangia.

-Maharage na nazi tui zito la kwanza au unaweza kununua ya maji.

-Samaki na viungo vyake vyote, unaweza kuweka kitunguu swaumu, limao na tangawizi.

JINSI YA KUPIKA

Chukua ndizi zako zikaange kwenye mafuta weka pembeni. Ukimaliza chukua samaki ambaye umeshamuungia viungo, mkaange naye umuweke  pembeni.

Ukimaliza unga maharage yako vizuri yaweke nazi na usiyatie michuzi kabisa, chakula hiki kinapendeza kuliwa na mboga ya  maharage ambayo ni kavu. Ukimaliza andaa chakula chako kitakuwa tayari kwa kuliwa sasa.

Comments are closed.