The House of Favourite Newspapers

Orodha Washindi Tuzo za VPL 2017/18 (Video + Picha)

Hellen Mduma (katikati) akipokea Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi John Bocco Tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu 2017/2018
Kipa wa zamani wa klabu ya Simba, Moses Mkandawile (kulia) akimkabidhi kipa wa Simba, Aishi Manula,  Tuzo ya Kipa Bora.
Mchezaji nyota wa zamani wa Yanga, Sunday Manara (kushoto), akimkabidhi Tuzo ya Bao Bora, Shabani Chilunda, wa Azam FC.
Mwakyembe akimpa Tuzo ya Heshima mchezaji wa zamani soka, Nicholas Akutende.
John Bocco wa Simba akiwa na tuzo mbili;  Tuzo ya Kikosi Bora (kushoto) na ya Mchezaji Bora.
Baadhi ya wachezaji wa Kikosi Bora cha Msimu.
Baadhi ya waliopata tuzo wakiwa na viongozi wa TFF na Waziri Mwakyembe.

Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ambayo ndiyo wadhamini wa Ligi Kuu Tanzania Bara jana ilitoa tuzo mbalimbali kwa wachezaji na wadau wa ligi hiyo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambako mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe.

Orodha ya washindi wa tuzo za VPL 2017/18 ilikuwa ni:

1- Habibu Kiyombo mchezaji bora chipukizi

2- Aishi Manula golikipa bora wa msimu

3- John Bocco mchezaji bora wa msimu

4- Shaban Iddi mshindi wa tuzo ya goli bora la msimu

5- Abdallah Mohamed wa Prisons ndio kocha bora

6- Emmanuel Okwi mfungaji bora

7- Elly Sasii muamuzi bora wa msimu

8- Timu yenye nidhamu – Mtibwa Sugar

9- Tuzo ya heshima mchezaji wa zamani, Nicholas Akutende

Wachezaji waliounda kikosi bora cha msimu wa 2017/18 katika Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara.

1. Aishi Manula
2. Hassan Kessy
3. Shafiq Batambuzi
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondani
6. Patrick Tshishimbi
7. Shiza Kichuya
8. Tafadzwa kotinyu
9. John Bocco
10. Emanuel Okwi
11. Marcel Kaheza

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.