The House of Favourite Newspapers

JK akutana na mabalozi wa nchi mbalimbali za Afrika leo

0

jk

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza na Mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini, walipofika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo kumpa mkono wa pole kutokana na kifo cha Kaka yake, Suleiman Kikwete, kilichotokea hivi karibuni.

jk 2
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati), akifurahi jambo na Mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao nchini, walipofika nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo kumpa mkono wa pole kutokana na kifo cha kaka yake, Suleiman Kikwete, kilichotokea hivi karibuni.

(PICHA NA KASSIM MBAROUK).

Leave A Reply