Jocktan Maluli, Daniel Msirikale waibuka washindi Bongo Style
akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa shindano hilo kuanzia kushoto ni Zamda George, Comfort Badaru, Martin Kadinda, Reuben Nabora na Stanley Kamana.
akiwa katika picha ya pamoja na wanamitindo wanaoonesha mavazi yake.
(Picha na Fredy Njeje)
kwenye fainali baada ya michujo mbalimbali kabla ya washiriki hao wawili wakishinda tuzo hizo.
Comfort Badaru.
katika maonesho ya Africa Firm Festival Belgium kuonesha kazi zao pamoja na washiriki 18 walioshiriki shindano hilo, yatakayofanyika hivi karibuni nchini humo.