The House of Favourite Newspapers

Jodie afurahia maisha ya ndoa na mumewe

0

image (1) Joddie akiwa na mpenzi wake David Nnaji .

WANANDOA Joddie ambaye ni mwanamuziki na David Nnaji mwigizaji, wote wakiwa raia wa Nigeria, hivi sasa ‘wametoweka’ katika macho ya vyombo vya habari ambapo wameelekeza nadhari yao katika maisha yao binafsi nyumbani kwao.

image (2)Hivi sasa Jodie ambaye ni mjamzito yuko bize akihangaikia masuala ya familia yake huku wakisubiri kuwasili kwa kichanga chao cha kwanza mwaka kesho (2016).

Wawili hao walionekana majuzi katika vyombo vya habari baada ya kutoa picha yao kwenye instagram.

Leave A Reply