Biden Aomboleza Waliokufa kwa #Covid-19

TANGU kutokea kwa janga la #CoronaVirus duniani kumekuwa na athari katika maeneo mbalimbali huku Marekani ikiwa nchi iliyoathirika zaidi.

 

 

Marekani imepoteza watu zaidi ya laki tano kwa #COVID-19 ambapo Rais Joe Biden ameomboleza vifo hivyo kupitia ‘Moment of Silence.’

 

 

Aliomba taifa liungane naye ambapo mishumaa 500 iliwashwa na ukimya ukatawala kama ishara ya kuwaombea waliotangulia. Zoezi hilo lilifanyika Ikulu akiwa na Makamu wake, Kamala Harris, na wenza wao.

 

Toa comment