John Mongella Awatembelea Wagonjwa Waliopatwa na Tukio la Kumwagiwa Tindikali Kasulu
Ndugu Thomas Omary na mkewe, Bi. Verian Elias, waliopatwa na tukio la kumwagiwa tindikali huko Kasulu, Kigoma, wakipokea faraja kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Bara, John Mongella, walipotembelewa wakiwa kwenye matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.