The House of Favourite Newspapers

Johnnie Walker Yasimika Sanamu Kusherehekea Miaka 62 ya Uhuru wa Iliyokuwa Tanganyika

0

Johnnie Walker yaadhimisha miaka 62 ya umoja wa Tanzania kupitia kampeni ya kusisimua, “Keep Walking Tanzania” kwa kusimika sanamu ya Johnnie Walker kwenye daraja la Tanzanite.

Msimamizi wa vinywaji vikali wa SBL, Irene Mutiganzi alinukuliwa akisema, ‘tunapochambua safari tangu kupata uhuru, Johnnie Walker inaadhimisha siku hii kwa furaha kwasababu pia tunayo sababu ya kujivunia safari ndefu ambayo chapa yetu imekuwepo kipindi chote hiko.

Hivyo basi kupitia kampeni ya “Keep Walking Tanzania,” tumelenga kusheherekea jitihada na mafanikio ya taifa letu, na kuunga mkono dhamira ya pamoja ya kusonga mbele kama watu wa taifa moja.

Irene aliendelea, “Keep Walking Tanzania”—ni usemi unaotokana na dhamira thabiti ya chapa yetu kuungana mkono jitihada za maendeleo bora ya siku zijazo na zilizo na fursa isiyo na kikomo. Tunawatakia watanzania wote heri ya miaka 62 ya uhuru, na kwa hatua nyingi zaidi mbele huku tukitembea na Johnnie Walker bega kwa bega’.

Leave A Reply