The House of Favourite Newspapers

Jojo: Maisha Ya Ndoa Ni Mtihani Mkubwa, Siyo Makungwi Wote Wanaachwa – Video


Mtangazaji na Mshereheshaji nchini, Jojo amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa maisha ya ndoa siku zote ni mtihani mkubwa katika maisha ya mwanadamu.