The House of Favourite Newspapers

JOKATE APIGA CHINI YOTE, ABAKI NA MOJA TU!

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amesema anaweka pembeni mambo mengine yote na kuhakikisha anafanya kazi mwanzo mwisho hadi aone wilaya yake imebadilika na kuwa anavyotaka.  

 

Akizungumza na Amani, Jokate alisema kuwa mambo ya urembo na mengine yote aliyokuwa anayafanya, anayaweka pembeni kuhakikisha vitu muhimu vinavyotakiwa kuwepo Kisarawe vipo na vitakuwa vya kudumu hata kama yeye hatakuwepo.

 

“Yaani mambo sijui ya kujiona mrembo huku kwangu mimi sina, sasa hivi yaani nataka kuona Kisarawe ambayo haina ziro, mimba za utotoni hakuna, unyanyasaji wa kijinsia umeondoka kabisa hata kama sitakuwepo madakarani,” alisema Jokate.

Stori: Imelda Mtema, Dar 

Comments are closed.