Jokate Awapa Tano Vijana Kwa Maandalizi Mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM)Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa CCM .