The House of Favourite Newspapers

Jokate Mwegelo Ateuliwa kuwa Katibu wa mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM)

0

Aliyekuwa Katibu wa UWT Jokate Mwegelo ameteuliwa kuwa Katibu wa mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Jokate anachukua nafasi ya Fakii Raphael ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.

Jokate ameteuliwa katika wadhifa huo na Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana leo chini ya mwenyekiti wake, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Leave A Reply