Joti Aikumbuka Picha Yake Maarufu Akiwa Na Mpoki “Maisha Yalikuwa Magumu” – Video
Mkongwe kwenye tasnia ya uchekeshaji nchini Joti amefunguka kupitia Global Tv na kuelezea baadhi ya picha zilizomuonesha akiwa amepauka pamoja na wenzake, ambapo ameeleza kuwa maisha ya zamani yalikuwa hivyo na si kwamba alikuwa na hali mbaya.