The House of Favourite Newspapers

JPM Aagiza Usajili wa Meli Mpya Usitishwe Mara Moja – Video

RAIS John Magufuli ameagiza kusitishwa kwa usajili wa meli mpya Tanzania Bara na visiwani hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo kufuatia kukamatwa kwa meli 5 zinazopeperusha bendera ya Tanzania zikiwa na dawa za kulevya.

JPM: Kuanzia Leo Hakuna Kutoa Leseni kwa Meli Yoyote

Comments are closed.