JPM Akutana na Mwenyekiti wa Airtel, Walichokubaliana Kuhusu Hisa… Soma Hapa!

Rais Dkt. John Magufuli leo Ijumaa, Januari 11, 2018 amekutana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Bharti Airtel, Sunil Mittal, Ikulu jijini Dar es Salaam ambapo Mwenyekiti huyo amemueleza Rais kuwa, Kampuni yake imekubali kuongeza hisa zinazomilikiwa na Serikali ya Tanzania katika Kampuni ya Airtel kutoka asilimia 40 hadi asilimia 49.

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Loading...

Toa comment